Yanga kumuaga Magufuli leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Mar 2021
Yanga kumuaga Magufuli leo

Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla amesema leo watatoa heshima zao za mwisho kwa aliyekuwa Rais wa Tanzania, awamu ya tano hayati Dk John Magufuli

Leo ni siku ya mwisho kwa wakazi wa jijini Dar es salaam kutoa heshima zao za mwisho kwa mpendwa wao kabla ya mwili wake kusafirishwa mkoani Dodoma

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Yanga jana, viongozi na wachezaji wa timu hiyo watafika uwnja wa Uhuru saa nne asubuhi kutoa heshima zao za mwisho

Aidha Dk Msolla amewataka Wanayanga mbao jana hawakupata nafasi ya kumuaga hayati Magufuli, leo ndio siku ya mwisho wafike uwanja wa Uhuru kutoa heshima zao

Rais Magufuli alifariki dunia Machi 17 Hospitali ya Mzena jijini Dar es salaam kutokana na matatizo ya moyo

Leo jioni mwili wake utasafirishwa kwenda mkoani Dodoma kwa ajili ya wakazi wa mkoani huo kutoa heshima zao za mwisho hapo kesho

Kulingana na mabadiliko ratiba, hayati Magufuli atazikwa Ijumaa, Machi 23 mwili utaagwa visiwani Zanzibar, Machi 24 Mwanza, Machi 25 Chato na ibada ya mazishi kufanyika Machi 26 Chato

Mwenye ez Munugu ailaze roho yake mahali pema, peponi AMEN

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’