Mamia wajitokeza uwanja wa Uhuru kumuaga JPM

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Mar 2021
Mamia wajitokeza uwanja wa Uhuru kumuaga JPM

Wachezaji na viongozi wa klabu ya Yanga leo walipata nafasi ya kujumuika na Wananchi wengine wa jijini Dar es salaam kuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania, Awamu ya tano hayati Dk John Magufuli aliyefariki dunia hivi karibuni

Wananchi wamejitokeza kwa wingi uwanja wa Uhuru kutoa heshima zao za mwisho kwa hayati Magufuli ambaye kwa hakika alikuwa kipenzi cha Watanzania

Buriani Rais Magufuli, mwendo umeumaliza...

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’