Yanga yasubiri ratiba mpya kombe la Shirikisho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Mar 2021
Yanga yasubiri ratiba mpya kombe la Shirikisho

Kutokana na msiba mkubwa uliolikumba Taifa kwa kuondokewa na aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya Tano hayati Dk John Magufuli, Serikali ilitangaza siku 21 za maombolezo huku Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) likisitisha shughuli zote za michezo katika kipindi chote cha maombolezo

April 04 Yanga ilipaswa kuwa mkoani Rukwa kwa ajili ya mchezo wa kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Tanzania Prisons

Tarehe hiyo ipo ndani ya muda wa maombolezo tangu kifo cha Dk Magufuli kilichotokea Machi 17 kutokana na matatizo ya moyo

Yanga ilikuwa na mpango wa kuweka kambi Katavi kujiandaa na mchezo dhidi ya Prisons

Hata hivyo mapnago huo umesitishwa kutokana na msiba mkubwa uliolikumba Taifa

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wanasubiri TFF itangaze ratiba mpya ili waweze kujipanga

Amesema kwa sasa shughuli zote zimesimama, Ijumaa timu itarejea kambini Avic Town kuendelea na mazoezi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
32m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’