Ntibazonkiza katupia tena Burundi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Mar 2021
Ntibazonkiza katupia tena Burundi

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Saido Ntibazonkiza ameendelea rekodi yake ya kufunga mabao timu ya Taifa leo akiisaidia Burundi kupata sare ya mabao 2-2 dhidi ya Afrika ya Kati katika mchezo wa kuwania tiketi ya kufuzu fainali za Afcon 2021

Ntibazonkiza alifunga moja ya mabao ya Burundi, na kuisaidia timu hiyo kuendelea kuweka hai matumaini ya kucheza Afcon 2021

Ntibazonkiza ameingia kwenye orodha ya wafungaji wenye mabao mengi katika michuano hiyo akifunga mabao manne katika michezo mitatu aliyocheza

Mwamba amerejea akiwa timamu kwa asilimia 100!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’