Stars kukamilisha Ratiba Afcon

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Mar 2021
Stars kukamilisha Ratiba Afcon

Timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' leo itashuka uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Libya katika mchezo wa kukamilisha Ratiba michuano ya kusaka tiketi ya kushiriki fainali za Afcon 2021

Tanzania na Libya zimeondoshwa katika michuano hiyo baada ya kupoteza michezo yao iliyopita

Tanzania ilifungwa na Guinea ya Ikweta bao 1-0 wakati Libya ilipata kipigo cha mabao 5-2 kutoka kwa Tunisia

Tunisia na Guinea ya Ikweta zimefuzu kundi J

Mchezo huo utapigwa kuanzia saa kumi kamili jioni na utachezwa bila ya mashabiki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
9h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’