Mapokezi ya Zanzibar Heroes yavunja rekodi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Dec 2017
Mapokezi ya Zanzibar Heroes yavunja rekodi
Zanzibar inafahamika wananchi wake wamekuwa na mgogoro hasa katika kushirikiana kwenye masuala ya kijamii kutokana na tofauti zao za itikadi za vyama.

Lakini michezo imedhihirisha kuwa na nguvu kubwa ya kuwaunganisha wananchi na kusahau tofauti zao.

Mapokezo ya kikosi cha Zanzibar Heroes ambacho kilitinga fainali ya michuano ya CECAFA Challenge na kufungwa kwa matuta na Kenya, yamedhihirisha nguvu hiyo.

Wazanzibar walisahau tofauti zao na kwa pamoja waliwalaki vijana wao waliofanya kazi kubwa nchini Kenya japo hawakufanikisha lengo la kutwaa ubingwa.



Zanzibar Heroes imewadhihirishia Watanzania kuwa hakuna jambo lisilowezekana duniani muhimu kuwa na nia, uwezo na sababu.

Kwani hakuna aliyetegemea kama Zanzibar Heroes itafikia hatua iliyofika kwenye michuano hiyo ambayo timu za Kenya, Uganda na Tanzania Bara zilipewa nafasi kubwa ya kutwaa taji.

Tanzania Bara na Uganda zote zilichezea kichapo kutoka kwa Zanzibar Heroes ambayo ilifungwa kwa mikwaju ya penati kwenye mchezo wa fainali juzi baada ya sare ya mabao 2-2.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
13h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
17h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’