Baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Polisi juzi, kikosi cha Yanga kilipewa mapumziko ya siku moja na leo wamerejea katika dimba la Uhuru kuendelea na mazoezi.
Kikosi cha Yanga chini ya kocha msaidizi Shedrack Nsajigwa, kimekuwa kikifanya mazoezi ya Gym asubuhi huku jioni wakikipiga kwenye dimba la Uhuru.
Wachezaji waliokuwa kwenye kikosi cha Kilimajaro Stars isipokuwa Yohana Mkomola walipumzishwa katika mchezo wa kirafiki juzi na wameungana rasmi na wenzao.
Wale waliokuwa kwenye kikosi cha Zanzibar Heroes wanatarajiwa kujiunga na wenzao siku ya Jumatano.
Disemba 24, Yanga itashuka kwenye dimba la Uhuru kuchuana na Reha FC katika mchezo wa kombe la FA.

ADVERTISE HERE