Jana Yanga ilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya African Lyon ambayo ilifanyika Avic Town katika makazi ya Yanga kule Kigamboni
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mhe. Geoffrey Mwambe, alikuwa mgeni rasmi wa mchezo huo ambapo alitoa neno kwa wachezaji na viongozi kuelekea mbio za ubingwa wa ligi kuu kwa msimu huu wa 2021




ADVERTISE HERE