Ninja amerejea kikosini kwa kishindo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Apr 2021
Ninja amerejea kikosini kwa kishindo

Baada ya kukosekana dimbani tangu ilipomalizika michuano ya kombe la Mapinduzi, beki Abdallah Shaibu 'Ninja' alirejeshwa kikosini katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya KMC juzi

Ninja hakuwaangusha Wananchi kwani alionyesha kiwango kizuri sana katika mchezo huo

Alishirikiana vyema na nahodha Lamine Moro, kwa hakika Ninja ni silaha muhimu sana ndani ya kikosi cha Yanga

Ni bahati mbaya tu hakuwa na nafasi ya kuaminiwa wakati wa kocha Cedric Kaze lakini huyu ni chuma kwelikweli

Ninja ni mrithi sahihi wa mkongwe Nadir Haroub 'Cannavaro' ambaye pamoja na kumkabidhi jezi namba 23, alimtabiria kuwa anaweza kupata mafanikio kama aliyoyapata yeye ndani ya Yanga, muhimu aendelee kujituma na kuweka nidhamu mbele

Ninja alirejea Yanga mwanzoni mwa msimu akitokea barani Ulaya

Alipata nafasi ya kucheza LA Galaxy kwa mkopo kabla ya kutimkia Ulaya ambako hata hivyo hakufanikiwa

Ni beki anayekomaa kiuchezaji na hakuna shaka, wakati wake wa kuaminiwa ndani ya kikosi cha Yanga unakaribia

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’