Mlinda lango wa Yanga Metacha Mnata amepata msiba wa kufiwa na mtoto wake wa miezi nane, Brighton Boniface Mnata
Jemedari Said ambaye ni Meneja wa Metacha, amesema Brighton alilazwa Hospital ya RABININSIA iliyopo Tegeta kwa ugonjwa wa Pneumonia.
Tangu jana alikuwa anatumia mashine ya kupumua akiwa kwenye uangalizi maalumu (ICU) mpaka jioni umauti ulipomfika
Pole sana Metacha kwa msiba huu mkubwa wa kijana wako. Mwenye ez Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu

ADVERTISE HERE