AFC Leopards yamtaka Haji Mwinyi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Dec 2017
AFC Leopards yamtaka Haji Mwinyi
Baada ya timu ya taifa ya Zanzibar 'Zanzibar Heroes' kufanya vizuri kwenye michuano ya Kombe la CECAFA, iliyomalizika Jumapili na timu hiyo kushika nafasi ya pili wachezaji wengi wa timu hiyo wameweza kuzivutia klabu nyingi ambazo zimeonyesha nia ya kuwasajili.

Mlinzi wa kushoto wa Zanzibar Heroes na klabu ya Yanga Hajji Mwinyi ni mmoja wa wachezaji ambao wanawania na klabu ya FC Leopard ya Kenya ambayo tayari miamba hiyo ya Kenya imeonyesha nia ya kuitaka saini yake.

Mwinyi ameuambia mtandao wa GOAL, kuwa yupo tayari kujiunga na FC Leopard, lakini endapo timu hiyo itaweza kuzungumza na klabu yake ya Yanga na kukubaliana mapango huo kwasababu bado anamkataba nao.

"Siwezi kukata ofa kama hiyo lakini mimi bado ni mchezaji wa Yanga kwasababu ninamkataba nao isipokuwa kama wanaweza kunisubiri nimalize mkataba wangu sawa au wazungumze na waajiri wangu kama wataelewana nipo tayari kujiunga nao," amesema Mwinyi.

Beki huyo ambaye hapati nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha Yanga ni miongoni mwa wachezaji wa Zanzibar Heroes, awalion'gara kwenye michuano hiyo.

Alitengeneza pasi za mabao mawili katika mchezo wa fainali dhidi ya wenyeji Kenya.

Mbali na Mwinyi mchezaji mwingine ambaye ameonyesha kuivutia klabu hiyo ya Leopard ni kiungo Abdulaziz Makame ambaye naye anahitajika nchini Kenya kujiunga na timu hiyo.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’