Kaimu Kocha Mkuu wa Yanga Juma Mwambusi, leo amempa nafasi ya kuanza mlinzi wa kati Dickson Job
Tangu asajiliwe na Yanga mwezi Januari, Job hakuwa amecheza katika mchezo wowote kutokana na majeraha yaliyokuwa yakimkabili
Mwambusi leo amemuanzisha Job sambamba na Abdallah Shaibu 'Ninja' katika eneo la safu ya ulinzi wa kati
Aidha katika kikosi chake, Mwambusi pia amemjumuisha kiungo Carlinhos aliyechukua nafasi ya Feisal Salum 'Fei Toto'
ADVERTISE HERE