Wananchi waaswa kuchangamkia tiketi mchezo wa Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Apr 2021
Wananchi waaswa kuchangamkia tiketi mchezo wa Azam Fc

Tiketi za mchezo wa ligi kuu kati ya Yanga dhidi ya Azam Fc zinauzwa katika vituo vilivyoainishwa na Yanga mapema leo

Viingilio vya mchezo huo ambao utapigwa kesho kuanzia saa mbili na robo usiku ni Mzunguko 5,000/- , V.I.P B & C 10,000/- V.I.P A 15,000/-

Huu ni mchezo ambao Yanga inahitaji kuondoka na alama zote ili kujihakikishia wanaendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi wakati huu ligi ikielekea ukingoni

Aidha, utakuwa mchezo wa kwanza kwa kocha Nasredinne Nabi ambaye amewaandaa vijana wake kwa takribani siku tatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
3m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
26m ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
10h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
10h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
18h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’