Sita waikosa Tanzania Prisons

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Apr 2021
Sita waikosa Tanzania Prisons

Yanga imetoa taarifa ya kukosekana wachezaji wake sita leo katika mchezo wa kombe la FA hatua ya 16 bora dhidi ya Tanzania Prisons kutokana na sababu mbalimbali

Wachezaji Tuisila Kisinda, Dickson Job na Yassin Mustafa ni majeruhi wakati Michael Sarpong, Mukoko Tonombe na Feisal Salum wanatumikia adhabu ya kadi tatu za njano

Kiungo Zawadi Mauya leo ameanza akichukua nafasi ya Mukoko wakati nahodha Lamine Moro amerejea kikosini akichukua nafasi ya Job

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
2h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
14h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
18h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
23h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’