Kaimu Mwenyekiti wa Yanga Sc, Clement Sanga leo Ijumaa, Disemba 22 atakuwa na mkutano na waandishi wa Habari.
Mkutano huo utafanyika Makao Makuu ya klabu, kuanzia saa saba na nusu mchana.
Sanga huenda akaweka rasmi ratiba ya mchakato wa mabadiliko katika klabu ya Yanga.

ADVERTISE HERE