Job arejea, Carlinhos chini ya uangalizi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 May 2021
Job arejea, Carlinhos chini ya uangalizi

Wakati mlinzi wa kati Dickson Job akirejea kikosi kuendelea na maandalizi ya mchezo dhidi ya Simba utakaopigwa keshokutwa Jumamosi katika uwanja wa Benjamin Mkapa, kiungo Carlos Carlinhos bado yuko katika uangalizi wa madaktari

Akizungumzia maandalizi ya kikosi kuelekea mchezo huo, Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wanaendelea vyema na maandalizi ya mchezo huo wa kukata na shoka

"Kambi yetu inaendelea vizuri, wachezaji waliokuwa majeruhi wamerejea, Dickson Job pamoja na Abdallah Shaibu Ninja walikuwa na maumivu kidogo lakini pia madaktari wanaendelea kuangalia afya ya Carlinhos kwa karibu zaidi na baada ya muda tutatoa taarifa"

"Mpaka sasa tunaendelea vizuri na maandalizi na mchezo wetu wa dabi, mchezo ambao unasimamisha dunia kuitazama Tanzania inafanya nini kwenye mpira wa miguu"

"Kwahiyo sisi tunajiandaa vizuri kuelekea mchezo huo kuhakikisha kwamba siku hiyo dunia inaona kwamba kweli Yanga ni moja ya timu kubwa barani Afrika," alisema Bumbuli

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
13h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
23h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’