Sarpong, Fei Toto wasaka rekodi dhidi ya Simba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 May 2021
Sarpong, Fei Toto wasaka rekodi dhidi ya Simba

Mshambuliaji wa zamani wa Yanga Jerry Tegete ndiye anayeshikilia rekodi ya kufunga mabao mengi katika mechi za watani wa jadi katika miaka 10 iliyopita

Katika kipindi hicho, Tegete aliweza kufunga mabao manne

Michael Sarpong na kiungo Feisal Salum 'Fei Toto' ambao wako katika kikosi cha sasa cha Yanga, kila mmoja amefunga bao moja

Leo wanaweza kuwa sehemu ya kikosi kitakachoivaa Simba katika mchezo mwingine ambao wanaweza kujiongezea idadi ya mabao

Sarpong alifunga bao pekee la Yanga katika mchezo wa duru ya kwanza uliomalizika kwa matokeo ya sare ya bao 1-1

Msimu huu mshambuliaji huyo raia wa Ghana amefunga mabao manne tu, atakuwa na kiu ya kuongeza idadi hiyo ya mabao kwa kuendeleza pale alipoishia kwenye mchezo wa kwanza

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’