Kwa mujibu wa Katiba ya FIFA, Mwanachama yeyote wa Shirikisho hilo hapaswi kupokea maagizo kutoka kwenye chombo ambacho si Mamlaka za Mpira
FIFA imeweka wazi kuwa Maamuzi yoyote ambayo yatatolewa na chombo ambacho kiko nje ya utaratibu huo hayatambuliki

Sasa hizi sarakasi ambazo TFF na Bodi ya Ligi wanazifanya, mwisho wake ni huku
Maamuzi yeyote ya kuionea Yanga ni wazi yatawaingiza kwenye matatizo makubwa kwani Yanga itakwenda FIFA kudai haki yake
Huko itafahamika kama ni Kanuni ama Maagizo ndiyo yanasimamia mpira
ADVERTISE HERE