Nyota sita wabaki Dar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 May 2021
Nyota sita wabaki Dar

Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi mkoani Mtwara kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa Jumamosi, May 15 katika uwanja wa Majaliwa, Ruangwa

Meneja wa Yanga Hafidh Saleh amesema katika mchezo huo wanatarajiwa kuwakosa wachezaji sita ambao wamebaki jijini Dar es salaam wakikabiliwa na changamoto mbalimbali

Hafidh amewataja wachezaji hao kuwa Mapinduzi Balama, Carlinhos, Farid Mussa, Haruna Niyonzima, Abdallah Shaibu na Yassin Mustafa ambapo wote wanakabiliwa na changamoto za kiafya

Yanga imeweka kambi mkoani Mtwara kujiandaa na mchezo huo wakitarajiwa kuelekea Ruangwa siku ya Ijumaa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
8h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
13h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
17h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
18h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
18h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
Yanga yaondoka Arusha, kituo kinachofuata ni Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’