Tmu ya vijana ya Yanga imefanikiwa kuingia robo fainali ya ligi kuu ya vijana wakiibuka vinara wa kundi A
Timu nane zimetinga hatua hiyo ya mtoano kusaka bingwa wa ligi kuu ngazi ya vijana
Azam, Mtibwa Sugar, Simba, Kagera Sugar, Mwadui, Tanzania Prisons na JKT Tanzania zinaungana na Yanga katika hatua hiyo
Aidha, Tanzania Prisons na JKT Tanzania wamefuzu kama βbest losersβ baada ya kukusanya pointi nyingi kwenye nafasi ya tatu
ADVERTISE HERE