Sarpong kumpisha Waziri Junior leo?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 May 2021
Sarpong kumpisha Waziri Junior leo?

Mshambuliaji Waziri Junior huenda akapewa nafasi ya kuanza katika mchezo wa ligi kuu leo dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa uwanja wa Jamhuri

Junior aliyefunga bao moja msimu huu, amekuwa na wakati mgumu kupata nafasi katika kikosi cha kwanza

Hata hivyo tangu ujio wa kocha Nasreddine Nabi, angalau Junior amejumuishwa kwenye wachezaji wa akiba katika michezo iliyopita

Aidha kiwango kilichoonyeshwa na mshambuliaji Michael Sarpong katika mchezo dhidi ya Namungo Fc, huenda kikampa sababu Nabi kumtumia Junior au Abdulrazak Fiston ambaye pia kiwango chake hakijawa cha kuridhisha

Unaweza kuwa uamuzi sahihi kumuanzisha Junior katika mchezo huo ambao Yanga inahitaji alama zote tatu

Ni mchezaji mwenye kiu na shauku kubwa ya kutaka kudhihirisha kuwa hakusajiliwa na Yanga kwa bahati mbaya

Uwepo wake uwanjani unaweza kuinufaisha zaidi Yanga kwani atajituma zaidi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’