Balama tayari kurejea kikosini

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 May 2021
Balama tayari kurejea kikosini

Kiungo mshambuliaji Mapinduzi Balama yuko mbioni kurejea kikosini baada ya kupona majeraha yaliyomuweka nje kwa takribani mwaka mzima

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema Balama amepona majeraha, anatembea bila ya kutumia usaidizi wa magongo

Nyota huyo ameanza program ya mazoezi mepesi ya kukimbia chini ya uangalizi wa madaktari

"Kimsingi Balama amekwishapona, anatembea bila usaidizi wa magongo. Amepewa programu ya mazoezi mepesi ya kukimbia chini ya uangalizi wa madaktari ili kurejea katika hali yake ya kawaida"

"Bado hayuko tayari kucheza mpira, kutokana na ukubwa wa jeraha alilolipata hatuhitaji kumuharakisha ili kuepuka madhara," alisema Bumbuli

Balama amekuwa nje tangu mwezi Juni mwaka 2020 akipata majeraha wakati Yanga ikijiandaa na mechi za ligi kuu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’