Mukoko ajumuishwa timu ya Taifa DR Congo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 May 2021
Mukoko ajumuishwa timu ya Taifa DR Congo

Kiungo wa Yanga Mukoko Tonombe amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya DR Congo kwa ajili ya michezo ya Kimataifa ya kirafiki ambayo iko ndani ya kalenda ya FIFA

Mukoko ameitwa timu ya Taifa kwa mara ya pili tangu alipojiunga na Yanga mwezi August 2020

Ni heshima kwa Mukoko na klabu ya Yanga kwani DR Congo ina wachezaji wengi wanaocheza soka barani Ulaya

Nafasi huwa ni finyu kwa wachezaji wanaocheza ndani ya bara la Afrika na mara nyingi wanaoitwa hutokea klabu za TP Mazembe na AS Vita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
57m ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
4h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
9h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
13h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’