Msafara wa kikosi cha Yanga tayari umewasili mkoani Singida kuweka kambi ya maandalizi ya mchezo wa robo fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Mwadui Fc
Mchezo huo utapigwa Jumanne, May 25 uwanja wa CCM Kambarage
Yanga imetokea mkoani Dodoma ambako walifanikiwa kuondokana na alama zote katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya JKT Tanzania
Wananchi walishinda mabao 2-0 katika mchezo huo uliopigwa uwanja wa Jamhuri




ADVERTISE HERE