Jana Deus Kaseke aliwapa furaha mashabiki wa Yanga kwa kufunga mabao mawili yaliyowapeleka Wananchi nusu fainali ya kombe la FA
Hakuna shaka Kaseke ni miongoni mwa wachezaji wanaostahili kuendelea kuitumikia Yanga
Ni mchezaji asiyezungumzwa sana lakini ameibeba Yanga katika nyakati muhimu pengine kuliko hata baadhi ya wachezaji wa kigeni waliosajiliwa kwa gharama kubwa
Haishangazi kumuona Injinia Hersi Said akiweka mambo sawa kuhakikisha Kaseke anapata kile anachostahili!
ADVERTISE HERE