Yanga kurejea Dar leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 May 2021
Yanga kurejea Dar leo

Baada ya kutinga nusu fainali ya kombe la FA, kikosi cha Yanga kinarejea jijini Dar es salaam leo kupitia mkoani Mwanza

Wananchi watarejea mchana wakitumia usafiri wa ndege kutoka Mwanza

Yanga watakuwa na takribani wiki tatu za maandalizi wakisubiri Juni 17 kushuka dimbani kuikabili Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa uwanja wa Benjamin Mkapa

Aidha baadhi ya wachezaji wanatarajiwa kujiunga na timu za Taifa kwa ajili ya michezo ya Kimataifa ya kirafiki ambayo iko kwenye kalenda ya FIFA

Mukoko Tonombe atasafiri kuelekea DR Congo wakati Yacouba Songne yeye ataelekea Bukina Faso

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
37m ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
10h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
15h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
19h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
20h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
20h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’