Mshambuliaji wa Yanga Obrey Chirwa alikosa mchezo wa kombe la FA dhidi ya Reha FC kwa kuwa yuko kwao nchini Zambia.
Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Yanga zinabainisha kwamba Chirwa aliomba ruhusa arudi kwao kushughulikia matatizo ya kifamilia.
Chirwa, kinara wa mabao katika kikosi cha Yanga akiwa na mabao sita anatarajiwa kurudi mapema kabla ya Yanga kusafiri kwenda Mwanza kuivaa Mbao FC Disemba 31.
Aidha tayari Yanga imeanza mazungumzo ya kumsainisha mkataba mpya wakati ambapo mkataba wake wa sasa unamalizika Juni 31, 2018.

ADVERTISE HERE