Carlinhos Tanzania imemshinda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
31 May 2021
Carlinhos Tanzania imemshinda

Kiungo wa Yanga Carlos Carlinhos amevunja mkataba na kurejea kwao Angola, imefahamika

Habari za uhakika ni kuwa Carlinhos aliomba kuvunja mkataba wake kutokana na changamoto zilizokuwa zikimkabili

Majeraha ya mara kwa mara na upweke inatajwa kuwa sababu kuu iliyomfanya aondoke

Carlinhos amekuwa na wakati mgumu hata kuwasiliana na wenzake kwani lugha anayozungumza yeye ni kireno

Vyakula pia ilikuwa changamoto kwake kwani kuna wakati uongozi wa Yanga ulilazimika kupiga hodi ubalozi wa Angola nchini kumtafutia mpishi

Kila la kheri kwake, Wananchi wataendelea kuukumbuka mchango wake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’