Uongozi wa klabu ya Yanga umewataarifu viongozi wa Matawi na Wanachama kuwa wameanza kupokea maoni juu ya mfumo na Katiba pendekezwa kwa ajili ya Mabadiliko ya uendeshwaji wa klabu
Maoni yawasilishwe kwa Katibu Mkuu wa Yanga kabla ya Juni 20 2021

ADVERTISE HERE