Vodacom kujitoa udhamini Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jun 2021
Vodacom kujitoa udhamini Ligi Kuu

Kampuni ya Vodacom imetangaza kujitoa kuendelea kudhamini ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kupata hasara

Kwa mujibu wa ripoti ya fedha ya mwaka 2020/21 ya kampuni hiyo, Vodacom imepata hasara ya Tsh Bilioni 30

Ofisa Mtendaji Mkuu wa kampuni hiyo, Hisham Hendi amesema imekuwa ni fahari kubwa kwao kudhamini ligi kuu ya Tanzania kwa kipindi cha miaka 10

Lakini kutokana na mwenendo wa ufanisi wa kampuni, hawataendelea

"Tunafurahia ubia na tunapenda, ligi imekuwa ikiitwa jina letu"

"Lakini kwa kampuni ambayo imetengeneza hasara, leo usipoweza kuinuka juu lazima uangalie gharama zako"

"Katika mazingira hayo magumu lazima uchukue uamuzi mgumu," Hisham alinukuliwa na gazeti la Mwananchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’