Baada ya kukamilisha usajili wa mlinzi wa kulia wa AS Vita Shaban Djuma, Injinia Hersi Said ana majina mengine manne ya wachezaji walio katika mpango wa kusajiliwa na mabingwa hao wa kihistoria
Yanga imepanga kuongeza nyota watano wa kigeni kwa ajili kuboresha kikosi chake tayari kwa mikiki mikiki ya michuano mbalimbali msimu ujao
Usajili wa Djuma ulianza kuvuma wiki iliyopita baada ya Wakala wake kufichua kuwepo kwa mazungumzo na Yanga
Hersi bado yuko DR Congo akihusishwa na nyota wengine wawili
ADVERTISE HERE