Nabi ataka 'maproo' nane tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 Jun 2021
Nabi ataka 'maproo' nane tu

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi ameuambia uongozi wa timu hiyo kuwa angependa nafasi mbili za wachezaji wa kigeni ziachwe kwa ajili ya maboresho kwenye usajili wa dirisha dogo

Yanga imeanza maboresho ya kikosi chake ambapo michakato ya usajili imeanza mapema licha ya kuwa dirisha la usajili bado halijafunguliwa

Aidha Nabi amependekeza usajili wa nyota wasiozidi sita katika usajili wa wakati huu

Nyota wa kigeni ambao wako kwenye kikosi cha Yanga ni Farouk Shikhalo, Lamine Moro, Mukoko Tonombe, Tuisila Kisinda, Haruna Niyonzima, Saido Ntibazonkiza, Yacouba Songne, Michael Sarpong na Fiston Abdulrazak

Wachezaji wa kigeni wamebaki tisa baada ya Carlinhos kuondoka

Baadhi ya wachezaji kama Shikhalo, Fiston na Niyonzima mikataba yao inamalizika mwishoni mwa msimu huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’