Wananchi wanaendelea kujiweka sawa kumaliza msimu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Jun 2021
Wananchi wanaendelea kujiweka sawa kumaliza msimu

Kikosi cha Yanga kinaendelea kujifua Kigamboni kujiweka sawa na ngwe ya lala salama kukamilisha ligi kuu ya Vodacom pamoja na michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

Yanga ina michezo mitano iliyobaki VPL Wananchi wakiwa bado na hesabu za kuwania ubingwa licha ya kuwa nyuma kwa tofauti ya alama sita dhidi ya watani zao Simba

Mkufunzi wa Yanga Nasreddine Nabi anapaswa kuhakikisha kikosi chake kinazoa alama zote 15 zilizobaki

Mchezo unaofuata utapigwa Alhamisi ijayo Juni 17 dhidi ya Ruvu Shooting, mtanange huo ukitarajiwa kuunguruma katika uwanja wa Benjamin Mkapa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’