Wagombea wa urais wa TFF, Ally Mayay, Oscar Oscar na Ally Salehe wameenguliwa katika ugombea wa urais TFF
Makamu Mwenyekiti wa Uchaguzi TFF, Benjamin Karume amesema wagombea hao hawakukidhi vigezo vya kikanuni na sasa nafasi ya urais imebaki na wagombea watatu ambao ni Hawa Mniga, Wallace Karia na Evans Mgeusa
Aidha wagombea wengine saba wa nafasi ya Ujumbe, wameenguliwa kwa kutokidhi vigezo kikanuni
Uchaguzi utafanyika August 07 2021 mkoani Tanga
ADVERTISE HERE