Meneja afunguka tetesi za Ambundo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jun 2021
Meneja afunguka tetesi za Ambundo

Yanga inahusishwa kumuwania kiungo mshambuliaji wa Dodoma Jiji Dickson Ambundo

Ambundo anatajwa kuwa miongoni mwa mapendekezo ya benchi la ufundi la Yanga linaloongozwa na kocha Nasreddine Nabi

Meneja wa mchezaji huyo Ally Abdallah ambaye yuko mkoani Dodoma, amekiri kuwepo kwa mazungumzo ambayo kimsingi amesema yamekamilika kwa asilimia 100

"Ni kweli tumekuwa na mazungumzo na Yanga ambayo yamekamilika kwa asilimia 100. Kuna mambo ya kimkataba yanawekwa sawa kabla ya mchezaji kusaini mkataba," amesema Abdallah

Ikumbukwe Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Injinia Hersi Said yuko mkoani Dodoma ambako jana alishiriki kutoa semina ya Mabadiliko kwa wabunge Wanachama wa klabu ya Yanga

Pamoja na Ambundo, inaelezwa Yanga pia imekamilisha usajili wa nyota wengine wawili wa ndani, mshambuliaji Kibu Denis (Mbeya City) na mlinzi wa kushoto Bryson David (KMC)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’