Baada ya kuondoshwa kwenye nusu fainali ya michuano ya COSAFA kwa kuchapwa mabao 4-2 na Zambia, timu yetu ya Taifa ya Tanzania itashuka dimbani leo kusaka nafasi ya tatu dhidi ya Lesotho.
Kama ilivyokuwa kwa Stars, Lesotho ililazwa mabao 4-3 na Zimbabwe katika mchezo wa nusu fainali.
Mchezo huo ni kama marudiano ya mchezo wa kwanza wa kufuzu AFCON 2019 uliopigwa kwenye dimba la Tafa na timu hizo kutoka sare ya bao 1-1.
Zambia itaumana na Zimbabwe kwenye mchezo wa fainali keshokutwa Jumapili.
Mchezo wa Tanzania dhidi ya Lesotho utapigwa saa mbili na nusu usiku kwa saa za Tanzania.

ADVERTISE HERE