Mapema leo, Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Mashindano klabu ya Yanga Injinia Hersi Said, alikutana na Wazee na kuwapa semina ya kuwajengea ufahamu juu ya mabadiliko pendekezwa ya Mfumo wa uendeshaji wa Klabu pamoja na mabadiliko ya Katiba
Jumapili ijayo Mwanachama wa Yanga wataingia kwenye Mkutano Mkuu ambao utabeba ajenda ya Mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji wa klabu
ADVERTISE HERE