Mwenyekiti wa zamani klabu ya Yanga Yusufu Manji yuko nchini na anatarajiwa kushiriki Mkutano Mkuu wa Wanachama utakaofanyika Jumapili, Juni 27
Manji amekamilisha mahitaji yote ili kuweza kushiriki Mkutano huo ikiwa ni pamoja na kulipia ada za uanachama wake
Wananchi wana jambo lao Jumapili, ile Yanga iliyokuwa ikililiwa na wengi inakwenda kuzaliwa sasa
Ikumbukwe ziko nafasi za wawekezaji watatu hadi wanne ambao wataweka 'mkwanja' baada ya mchakato wa Mabadiliko kukamilika
Mwananchi Manji anaweka mambo yake sawa, huenda akawa miongoni mwao...!
ADVERTISE HERE