Wananchi ni kama bahari, hawakai na uchafu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jun 2021
Wananchi ni kama bahari, hawakai na uchafu

Jana Katibu Mkuu wa TFF Wilfred Kidao nusura ashindwe kuzungumza kwenye Mkutano Mkuu wa Wanachama wa Yanga baada ya kuwekewa ngumu

Wanachama walipinga uwepo wake wakimtaka aondoke ukumbini hapo

Viongozi wa Yanga walilazimika kufanya kazi ya ziada kuwatuliza Wanachama ili aweze kuwasilisha ujumbe wa TFF

Wananchi hawakuwa wanafiki, walifikisha ujumbe wao bila ya kujali ugeni mkubwa uliohudhuria Mkutano huo

Yanga imekuwa na malalamiko ya kuonewa na TFF ikiwa ni pamoja na viongozi wake kufungiwa bila sababu za msingi

Ni juzi tu Makamu Mwenyekiti Fredrick Mwakalebela alishinda rufaa Kamati ya Maadili akipinga kifungo cha miaka mitano na fainl ya Tsh Milioni saba

Afisa Habari Hassan Bumbuli nae aliwahi kukumbana na rungu la TFF kabla ya kushinda rufaa mbele ya kamati ya Maadili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’