Mashabiki kutumia NCard kushuhudia mpambano wa watani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jun 2021
Mashabiki kutumia NCard kushuhudia mpambano wa watani

Kama ulikata tiketi kupitia NCard kushudia mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga uliopaswa kupigwa May 08, basi utaweza kushuhudia mchezo baina ya timu hizo utakaopigwa mwishoni mwa wiki, Julai 03 2021

Taarifa iliyotolewa na Bodi ya Ligi leo, imebainisha kuwa mashabiki ambao walikata tiketi kwa ajili ya mchezo ulioahirishwa, wataruhusiwa kuingia uwanjani kwa kutumia kadi zao NCARD na kuwa hawalazimika kukata tena tiketi

Aidha Bodi ya Ligi imebainisha kuwa kutakuwa na tiketi mpya 13, 782 ambazo zitauzwa kwa ajili ya mashabiki wapya

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’