Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Yanga dhidi ya Ihefu Fc uliokuwa upigwe Julai 14, sasa utapigwa Julai 15, siku ya Alhamisi
Ni moja ya mechi mbili za Yanga kumaliza msimu huu
Kimahesabu Wananchi wanahitaji alama moja tu ili kujihakikishia kumaliza kwenye nafasi ya pili katika msimamo wa ligi
Baada ya mchezo huo, Yanga itaelekea Dodoma kukamilisha mchezo wa mwisho dhidi ya Dodoma Jiji
ADVERTISE HERE