Mashabiki 10,000 kushuhudia dabi Kigoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Jul 2021
Mashabiki 10,000 kushuhudia dabi Kigoma

Mkurugenzi wa mashindano TFF,Salum Madadi amesema kwamba mashabiki watakaopaswa kushuhudia mechi ya fainali ya Azam Sports Federation Cup,itakayowakutanisha Simba na Yanga hawatazidi 10,000.

Madadi amewaomba wakazi wa Kigoma kununua tiketi zao mapema kabla ya siku ya mechi kwani uwezo wa uwanja ni mashabiki elfu kumi tu.

Amesema kwamba idadi ya mashabiki hao ikishatimia hakutakua na ongezeko lolote

Amesema TFF imejipanga vizuri kwenye eneo hilo kuelekea kwenye mchezo huo utakaopigwa Julai 25 mwaka huu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’