Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara, Yanga kinatarajiwa kuanza mazoezi ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu ya Vodacom, 2017-18.
Leo wachezaji ambao tayari wameripoti kambini wamefanyiwa vipimo vya afya.
Miongoni mwa wachezaji waliofanyiwa vipimo vya afya leo ni Amissi Tambwe, Abdallah Shaibu 'Ninja', Juma Mahadhi, Vicent Andrew, Said Juma Makapu, Haji Mwinyi, Juma Abdul na Yusuph Mhilu.

ADVERTISE HERE