Shukrani kutoka kwa Wananchi wa Dodoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jul 2021
Shukrani kutoka kwa Wananchi wa Dodoma

Jana baada ya mchezo dhidi ya Dodoma Jiji, umoja wa Matawi ya Yanga mkoani Dodoma waliandaa hafla maalum kwa ajili ya wachezaji na benchi la ufundi

Ni shukrani baada ya kukamilisha ligi kuu ya Vodacom msimu wa 2020/21

Uongozi wa Yanga umewashukuru Wananchi hao wa Dodoma kwa tukio hilo la kipekee

"Shukrani za dhati kwa Umoja wa Matawi Jijini Dodoma kwa mapokezi mazuri na hafla ya pamoja ya chakula cha jioni na mgeni Rasmi wetu Mwanachama wa klabu yetu ambaye pia ni Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde. Asanteni kwa upendo wenu, Hakika hii ndo Maana halisi ya Timu ya Wananchi"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’