Mashabiki 20,000 kushudia dabi Kigoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Jul 2021
Mashabiki 20,000 kushudia dabi Kigoma

Mashabiki Elfu 20 watapata fursa ya kushuhudia mchezo wa fainali kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi ya Simba utakaopigwa uwanja wa Lake Tangayika, Julai 25 mkoani Kigoma

Tayari TFF imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIPA ni 30,000/-, Majukwaa ya Kulia na Kushoto Elfu 20,000/-, Jukwaaa la Urusi 15,000/- na Mzunguko 10,000/-

Tiketi za mchezo huo zitaanza Kuuzwa tarehe 21 siku ya Jumatano

Yanga inatarajiwa kutua mkoani Kigoma siku ya Alhamisi, Julai 22 kukamilisha maandalizi yake ya mwisho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18m ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
9h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
14h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
18h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
19h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
19h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’