Kamati ya Waamuzi yamkingia kifua Arajiga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Jul 2021
Kamati ya Waamuzi yamkingia kifua Arajiga

Kamati ya Waamuzi imeeleza kuwa haitafanya mabadiliko ya Waamuzi wa mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa keshokutwa Jumapili uwanja wa Lake Tanganyika

Mwenyekiti wa Kamat hiyo, Soud Abdi amesema mwamuzi Ahmed Arajiga alipangwa tangu hatua za awali

"Tumeona malalamiko ya Yanga kuhusu mwamuzi Ahmed Arajiga kuwa amechezesha mechi tatu mfululizo za Simba kwenye michuano hii ya FA, lakini sisi kama Kamati tulimuandaa tangu kwenye hatua za awali"

"Leo hii tukimtoa Arajiga kwa sababu amelalamikiwa tukimuweka mwingine nae akilalamiwa na timu nyingine tutafika wapi. Kikubwa nawataka waamuzi waliopangwa kufuata sheria 17 za soka na timu ziingie zikiwa na imani sheria zitafuatwa na mwenye bahati atashinda," alisema Soud

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’