Mwenyekiti wa klabu ya Yanga Dk Mshindo Msolla leo aliwaongoza viongozi, benchi la ufundi na wachezaji kutoa misaada kituo cha Watoto yatima Subira Mina Rahman kilichopo Kigoma Mjini
Ni utamaduni kwa klabu ya Yanga iliyojipambanua kuwa timu ya Wananchi. Kwani siku zote wanarudisha kwa jamii na kuweza kufanya kilicho bora ili kuleta furaha kwenye maisha ya kila mmoja


ADVERTISE HERE