Yanga ina watu Kigoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Jul 2021
Yanga ina watu Kigoma

Uongozi wa klabu ya Yanga, umewashukuru wapenzi, wananchama na mashabiki wake kwa kujitokeza kwa wingi kwenye mchezo wa fainali ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) dhidi ya Simba ambao ulipigwa uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma

Mashabiki walijitokeza kwa wingi uwanja wa Lake Tanganyika kuiunga mkono timu yao katika mchezo ambao hata hivyo matokeo hayakuwa upande wao baada ya kufungwa bao 1-0

Wakiwa mkoani Kigoma, Yanga walipata sapoti ya Wanachama na Mashabiki wao kwa muda wote, hili ni jambo la kujivunia kwa Yanga

Naamini wakati mwingine Yanga itakwenda Kigoma kurudisha shukrani kwa watu wake hawa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
50m ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
14h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
19h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’