Michuano ya kombe la Kagame inatarajiwa kuanza mwishoni mwa wiki hii jijini Dar es salaam ambapo klabu ya Yanga ni miongoni mwa timu tisa zitakazoshiriki michuano hiyo
Yanga imepangwa kundi C pamoja na mabingwa wa ligi kuu ya Uganda, Express na Nyasa Big Bullets ya Malawi
Kundi A litakuwa na KCCA (Uganda), Le Messenger Ngozi (Burundi) na KMKM (Zanzibar)
Kundi B linaundwa na Azam Fc (Tanzania), Tusker (Kenya) na Atlabala (Sudan Kusini)
Michuano hiyo itaanza August Mosi, 2021
ADVERTISE HERE