Uongozi wa klabu ya Yanga umetoa shukrani kwa Dismas Ten kwa utumishi wake ndani ya klabu katika kipindi chote alichoitumikia Yanga katika nafasi mbalimbali tangu mwaka 2017
Aidha Yanga imempongeza Ten kwa jitihada zake katika kusaidia maendeleo ya klabu ya Yanga na wametakia kila la kheri katika maisha mapya nje ya Yanga
ADVERTISE HERE